Kikao cha Mwenyekiti wa Bodi ya TFNC na Menejimenti

Imewekwa: 29th Mar, 2024
Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Bw. Obey Assery, leo Machi 27, 2024, amekutana na Menejimenti ya Taasisi na kujadili masuala mbalimbali ikiwemo kupokea taarifa ya utekelezaji wa shughuli mbalimbali ambazo zimetekelezwa na Taasisi.