Kikao cha wadau wa masuala ya chumvi wajadili matokeo ya utafiti

News Image

Imewekwa: 15th May, 2024

Wazalishaji Chumvi wadogo na wakati, watendaji ngazi za halmashauri na wajumbe wa kamati ya kuzuia upungufu wa madini joto, wamekutana mkoani Morogoro na kujadili matokeo ya utafiti wa mbinu za kuboresha mpango jumuishi wa uzalishaji chumvi, ambao unatajwa utasaidia kuboresha uzalishaji wa chumvi yenye kiwango cha madini joto ya kutosha.