Food & Nutrition tips

Umuhimu wa maji mwilini

Maji si sehemu ya kundi la chakula lakini maji yana umuhimu kubwa sana kiafya katika kufanikisha kazi mbalimbali mwilini. Pia viungo vingi vya mwili ili iweze kufanya kazi vizuri vinahitaji maji na zaidi ya asilimia 60 ya uzito wa mwili wa binadamu ni maji. ...Soma zaidi

Je, ni kweli kwamba ndimu na limau hupunguza damu mwilini?

​Kumekuwa na dhana potofu kwa watu wengi juu ya faida na matumizi ya ndimu na limau kilishe, wengu huamini kwamba matumizi ya ndimu na limau si mazuri kwa sababu yanasababisha upungufu wa damu, jambo ambalo si kweli....Soma zaidi

Ulaji unaofaa na mtindo bora wa maisha dhidi ya magojwa sugu ya figo

Kila alhamisi ya wiki ya pili ya mwezi Machi dunia huadhimisha siku ya figo duniani. Siku hii ilianza kuadhimishwa rasmi mwaka 2006 katika nchi 66 na baadae kuenea katika nchi zote duniani. Nchini Tanzania siku hii ilianza kuadhimishwa mwaka 2011....Soma zaidi

Umuhimu wa kunyonyesha mara baada ya kujifungua

Watoto wachanga wanapaswa kuanza kunyonyeshwa maziwa ya mama ndani ya saa moja baada ya kuzaliwa ili maziwa yaanze kutoka mapema. Inashauriwa mara baada ya kujifungua mama na mtoto wagusane ngozi kwa ngozi ili kusaidia maziwa kutoka na kuongeza...Soma zaidi

Dondoo muhimu kuhusu mtindo bora wa maisha ili kuzuia na kukabiliana na saratani.

Saratani na matibabu yake huweza kumfanya mtu kuwa dhaifu. Ni muhimu sana kwa mgonjwa wa saratani kuzingatia ulaji bora na kufuata mtindo bora wa maisha kwa sababu unasaidia sana kupunguza madhara ya ugonjwa kabla, wakati na baada ya tiba. ...Soma zaidi

Lishe ya Mama anayenyonyesha

Mama anayenyonyesha anatakiwa kuwa na lishe bora kutokana na kuwa na mahitaji makubwa ya virutubishi mwilini kwa ajili ya afya yake na kwa ajili ya kutengeneza maziwa ya mtoto. Kwa sababu hiyo, ni muhimu mama anayenyonyesha kula mlo kamili zaidi ya mitatu kwa siku na asusa kati ya mlo na mlo. ...Soma zaidi

Ushauri kuhusu ulaji wa chakula kwa wagonjwa wa kisukari

Matibabu ya ugonjwa wa kisukari yanagharimu fedha nyingi. Kwa hiyo ni muhimu kuzuia na kudhibiti athari za kisukari mapema. Ili kudhibiti ugonjwa wa kisukari mgonjwa anapaswa kupatiwa matibabu sahihi, ...Soma zaidi

Lishe ya Mama Mjamzito

Lishe bora wakati wa ujauzito ni muhimu sana kwa sababu humpatia mama virutubishi muhimu kulingana na hali yake. Wakati wa ujauzito mama anahitaji virutubishi zaidi kwa ajili ya maendeleo yake kiafya pamoja na mtoto aliyetumboni. Lishe bora huimarisha afya ya mama na humsaidia mtoto kukuwa vizuri kimwili na kiakili. ...Soma zaidi