Maktaba ya Picha

 • Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani

  Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani 2020

  Imewekwa : October, 16, 2020

 • Uzinduzi wa mradi wa kutengeneza chakula kwa watoto miezi 6 - 59

  Uzinduzi wa mradi wa kutengeneza chakula kwa watoto wenye umri wa miezi 6 - 59

  Imewekwa : August, 27, 2020

 • Siku ya Wiki ya Unyonyeshaji Duniani na Siku ya Lishe Kitaifa

  Maadhimisho ya Siku ya Lishe Kitaifa, ambayo yamezinduliwa rasmi jijini Dodoma na Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu na kuhudhuliwa na wadau mbalimbali wa lishe nchini .

  Imewekwa : August, 08, 2020

 • Mwezi wa afya na lishe ya mtoto - Disemba 2019

  Habari na Vipeperushi mbalimbali pamoja na katuni katika kampeni ya Mwezi wa afya na lishe ya mtoto kuanzia miezi 6 hadi miaka 5, tarehe 01 - 31 Disemba 2019

  Imewekwa : December, 27, 2019

 • Maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani 2019

  Wataalamu kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) wakitoa elimu na ushauri wa lishe kwa wananchi waliofika katika banda letu la maonesho katika kuadhimisha siku ya ukimwi duniani yanayofanyika kitaifa jijini Mwanza kuanzia 25/11/2019 - 01/12/2019

  Imewekwa : November, 27, 2019