Maktaba ya Picha
-
Jumbe za Lishe Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani 2020
Jumbe za lishe katika Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani 2020
Imewekwa : December, 02, 2020
-
Mafunzo kuhusu namna ya kuandaa mitaala
Mhadhiri Mwandamizi kutoka Chuo Kikuu cha Afya Na Sayansi Shirikishi Muhimbili Dkt: Doreen Mloka akiwafundisha wafanyakazi wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (hawapo pichani) jinsi ya kuandaa mitaala kwenye Taasisi hiyo, Mafunzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Taasisi hiyo Novemba 30,2020.
Imewekwa : December, 01, 2020
-
Nadharia ya Matokeo Tarajiwa
Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Hellen Keller imetoa mafunzo kwa watumishi wa Taasisi hiyo kuhusu Nadharia ya Matokeo Tarajiwa (Theory of Change) ili kuwajengea uwezo wa kufanya kazi zao kwa ufanisi, katika kukabiliana na matatizo mbalimbali yanayotokana na Lishe. Mafunzo hayo yanafanyika katika ukumbi wa TFNC tarehe 10 hadi 11 Novemba,2020.
Imewekwa : November, 10, 2020
-
Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani
Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani 2020
Imewekwa : October, 16, 2020
-
Uzinduzi wa mradi wa kutengeneza chakula kwa watoto miezi 6 - 59
Uzinduzi wa mradi wa kutengeneza chakula kwa watoto wenye umri wa miezi 6 - 59
Imewekwa : August, 27, 2020