Sera na Miongozo

.Kuhakikisha kwamba ushirikiano wa lishe wa sera zinazoendeshwa na sekta mbalimbali hupewa uzingatio sahihi, kutoa miongozo ya jinsi ya kukabiliana na matatizo ya chakula na lishe, kuchunguza uingiliano kati ya sera mbalimbali za sekta zinazopangwa kuboresha afya na lishe ya watu na kuja na viashiria vya hali ya lishe ambavyo vinaweza kutumika kama vigezo vya tathmini ya athari za kijamii za mipango ya maendeleo.