Kupata huduma ya utafiti wa maabara na uchambuzi wa elimu kuhusu chumvi iliyo na madini joto
TFNC inatoa huduma ya utafiti wa maabara katika sampuli za Iodini, chumvi, vyakula ect.
Taratibu za kupata huduma ya utafiti wa maabara
Wasiliana nasi kupitia barua pepe: info@tfnc.go.tz na elifatio.towo@tfnc.go.tz