UPCOMING COURSE: MAFUNZO YA USINDIKAJI UNGA MCHANGANYIKO KWA MATUMIZI YA WATOTO WENYE UMRI WA MIEZI 6 – 23

Imewekwa:Oct 15 , 2025

CLICK HERE FOR REGISTRATION AND PAYMENT

Walengwa wa Mafunzo: Wajasiriamali wadogo na wakati, wazazi/walezi wa watoto wa umri wa miezi 6-23 pamoja na wajasiriamali

Sifa za Muombaji: Awe na uwezo wa kusoma na kuandika

Lugha ya Kufundishia: Kiswahili