Zoezi la upimaji wa hali ya lishe kwa watoto wenye umri kuanzia miezi sita hadi 59
Imewekwa: 12th Jan, 2026
Afisa Mtafiti Mkuu kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Dkt. Hoyce Mshida (aliyevaa t-shirt ya pinki) zoezi la upimaji wa hali ya lishe kwa watoto wenye umri kuanzia miezi sita hadi 59 katika zahanati ya Musa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Arusha Vijijini kabla ya kuanza zoezi la kukusanya taarifa za utafiti wa kuhakiki ufanisi wa unga mchanganyiko wa mbegu za mchicha na nafaka nyingine katika kupunguza tatizo la utapiamlo kwa watoto.
Utafiti huu unafanyika kwa muda wa miezi sita katika Halmashauri mbili za mkoa wa Arusha (Arusha Jiji na Arusha Vijijini).
