Muundo

Utendaji wa Taasisi hii inasimamiwa na Bodi ya Taasisi na shughuli za kiutendaji zinaongozwa na Mkurugenzi Mtendaji akisaidiwa na Wakuu wa kurugenzi tano: Fedha, Utumishi na Utawala;Sera na Mipango ya Lishe;Afya na Lishe ya Jamii;Elimu ya Mafunzo ya Lishe na Sayansi ya Chakula na Lishe.