Maktaba ya Picha

 • Mwezi wa afya na lishe ya mtoto - Disemba 2019

  Habari na Vipeperushi mbalimbali pamoja na katuni katika kampeni ya Mwezi wa afya na lishe ya mtoto kuanzia miezi 6 hadi miaka 5, tarehe 01 - 31 Disemba 2019

  Imewekwa : December, 27, 2019

 • Maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani 2019

  Wataalamu kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) wakitoa elimu na ushauri wa lishe kwa wananchi waliofika katika banda letu la maonesho katika kuadhimisha siku ya ukimwi duniani yanayofanyika kitaifa jijini Mwanza kuanzia 25/11/2019 - 01/12/2019

  Imewekwa : November, 27, 2019

 • Uzinduzi wa programu ya kudhibiti magonjwa yasioambukiza 2019

  Maandalizi ya banda la maonyesho la Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania katika kushiriki kwenye uzinduzi wa programu ya kudhibiti magonjwa yasioambukiza- Uwanja wa Jamhuri Dodoma siku ya tarehe 14/11/2019.

  Imewekwa : November, 12, 2019

 • SUNGG 2019 Global Village

  Ushiriki wa Tanzania katika "SUNGG 2019 Global Village" katika mji wa Kathmandu nchini Nepal Mh.Jakaya Kikwete, Rais mstaafu awamu ya nne(4), Katibu Mkuu Bi.Dorothy Mwaluko kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Uwekezaji na wadau mbalimbali wa ndani ya Tanzania na nje katika picha mbalimbli za pamoja.

  Imewekwa : November, 05, 2019

 • Validation Meeting Drivers of Stunting

  Meeting for Validation on Drivers of Stunting in Tanzania held in Dar es salaam region at Double Tree Conference on 03 October,2018

  Imewekwa : October, 06, 2018