Habari

Mwenge wa uhuru kutumika kueneza elimu ya Lishe
Imewekwa: 4th Oct, 2019“Lishe bora ni msingi wa maendeleo, bila ya kuwa na lishe bora, afya bora hatuwezi kufikia lengo letu la kufikia uchumi wa viwanda” ...Soma zaidi

Waajiri wanaozuia likizo za uzazi waache mara moja- Ummy Mwalimu
Imewekwa: 2nd Aug, 2019Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Ummy A. Mwalimu (Mb) amewataka waajiri binafsi wanaozuia likizo ya uzazi kuacha mara moja. ...Soma zaidi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya azindua ripoti ya utafiti wa Hali ya Lishe nchini kwa mwaka 2018
Imewekwa: 2nd Aug, 2019Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Zainab Chaula azindua ripoti ya utafiti wa Hali ya Lishe nchini kwa mwaka 2018 tarehe 30 Julai,2019 jijini Dodoma....Soma zaidi
TFNC yapata Mkurugenzi Mtendaji mpya
Imewekwa: 15th Jul, 2019Dkt. Germana Leyna ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) akichukua nafasi ya Dkt. Vincent Assey ambaye amestaafu....Soma zaidi