Mafunzo ya Uandaji sahihi wa chakula cha nyongeza cha watoto kwa afya bora

Imewekwa:Mar 11 , 2025

Walengwa:

Watoa huduma za afya, maafisa miradi ya lishe na yeyote atakayependa kuhudhuria mafunzo haya.

Malengo ya Mafunzo:

-Kujifunza njia sahihi za uandaaji wa chakula cha nyongeza cha watoto.

-Kujifunza mbinu bora za uzalishaji wa chakula cha nyongeza kwa watoto.

-Kuimarisha mbinu za upatikanaji wa chakula mchanganyiko kwa watoto katika jamii.

<<< BONYEZA HAPA ILI KUJISAJILI >>>


Mafunzo yatafanyika kwa njia ya Mtandao(e-Learning)| Tarehe: 05 - 09 Mei, 2025;

Lugha itakayotumika ni Kiswahili.

-Utakapojisajili kwa ajili ya mafunzo haya utatumiwa namba ya malipo (control number).

Mawasiliano: +255 766 888 435, +255 713 933 419