Habari

Bodi Yatembelea Rasilimali za Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania
Imewekwa: 4th Feb, 2019Wajumbe wa Bodi ya Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) wamefanya ziara ya kutembelea rasilimali za Taasisi tarehe 30 Januari, 2019. Mali zilizotembeleawa ni pamoja...Soma zaidi

Naibu Waziri azindua Bodi ya TFNC na kutoa maagizo
Imewekwa: 17th Jan, 2019Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile (Mb) ameagiza Bodi ya Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) kupambana na utapiamlo kwa kuwekeza katika lishe ili watanzania wengi wasipate magonjwa, wakati akiizindua rasmi bodi hiyo tarehe 18 Disemba, 2018....Soma zaidi

Halmashauri 14 zapatiwa mafunzo ya kuongeza madini joto
Imewekwa: 16th Oct, 2018Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) imetoa mafunzo ya kuongeza madini joto kwenye chumvi kwa wazalishaji 715 toka halmashauri 14 zinazozalisha chumvi kwa wingi nchini ikiwemo halmashauri ya wilaya ya Rufiji, Mkuranga, Bagamoyo, ...Soma zaidi

WAJA- Tutaboresha hali ya lishe Ukerewe
Imewekwa: 2nd Oct, 2018Watoa huduma katika ngazi ya Jamii (WAJA) wilayani Ukerewe wameahidi kuboresha hali ya lishe kwa watoto wachanga, watoto wadogo, wajawazito, wanaonyonyesha na wasichana balehe....Soma zaidi