Mafunzo ya kuijengea uwezo kamati ya lishe mkoani Kagera

News Image

Imewekwa: 15th Mar, 2021

Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania leo tarehe 15/03/2021 imetoa mafunzo ya kuijengea uwezo kamati ya lishe ya Mkoa wa Kagera ili kuweza kusimamia masuala ya kuongeza virutubisho kwenye vyakula vya kusindika kupitia mradi wa “pooled project “ unaotekelezwa kwa pamoja na TAMISEMI, ofisi ya Waziri Mkuu na shirika la GAIN.