MAFUNZO YA USINDIKAJI UNGA MCHANGANYIKO KWA MATUMIZI YA WATOTO WENYE UMRI WA MIEZI 6 – 23
Imewekwa:May 14 , 2025
ILI KUJISAJI: BONYEZA HAPA JISAJILI
Kozi inatarajiwa kufanya Juni 2025
Walengwa wa Mafunzo: Wajasiriamali wadogo na wakati, wazazi/walezi wa watoto wa umri wa miezi 6-23 pamoja na wajasiriamali
Sifa za Muombaji: Awe na uwezo wa kusoma na kuandika
Lugha ya Kufundishia: Kiswahili