Habari

TFNC yajivunia miaka minne ya JPM
Imewekwa: 24th Jan, 2020Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania imetaja mafanikio iliyoyapata katika miaka minne ya Uongozi wa Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli....Soma zaidi
Watu 227 wapimwa hali zao za lishe wakati wa maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani
Imewekwa: 4th Dec, 2019Wananchi 227 wamejìtokeza kupima hali zao za lishe wakati wa maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani yaliyofanyika kitaifa jijini Mwanza katika viwanja vya Rock City Mall kuanzia tarehe 25/11/2019 hadi tarehe_ 01/12/2019. ...Soma zaidi

Mtaalamu aelezea mbinu za kujikinga na ugonjwa wa kiharusi
Imewekwa: 29th Oct, 2019Wakati Shirika la Afya Dunia (WHO) likionesha kuwa katika kila watu wanne, mmoja yupo kwenye hatari ya kupata ugonjwa wa kiharusi, Afisa lishe Mwandamizi kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Bi. Adelina Munuo ...Soma zaidi

Mwenge wa uhuru kutumika kueneza elimu ya Lishe
Imewekwa: 4th Oct, 2019“Lishe bora ni msingi wa maendeleo, bila ya kuwa na lishe bora, afya bora hatuwezi kufikia lengo letu la kufikia uchumi wa viwanda” ...Soma zaidi