Habari

Wanafunzi wanywe maziwa shuleni-Ummy Mwalimu
Imewekwa: 13th Aug, 2020Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema atamwandikia barua Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako kutoa pendekezo kuanzia Septemba Mosi Mwaka huu, Kila shule ya Msingi na Sekondari iwe na kibanda cha maziwa ...Soma zaidi

Wanahabari Mkoa wa Morogoro waomba kujengewa uwezo zaidi, kwenye uandishi wa habari za lishe
Imewekwa: 3rd Aug, 2020Chama cha Waandishi wa Habari mkoa wa Morogoro (MOROPC) kimeiomba Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania kuendelea .....Soma zaidi

Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania kuendelea kutoa elimu ya matumizi ya chumvi yenye madini joto
Imewekwa: 3rd Aug, 2020Katika kuhakikisha Tanzania inapanda zaidi katika viwango vya kitaifa vya matumizi ya chumvi yenye madini joto, ...Soma zaidi

Ulaji unaofaa kwa kuzingatia makundi matano ya vyakula
Imewekwa: 16th Jun, 2020Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) imewataka wananchi kuzingatia ulaji unaofaa kwa kuzingatia makundi matano ya vyakula ...Soma zaidi