Habari

Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani 2020
Imewekwa: 29th Nov, 2020Katika kuelekea siku ya UKIMWI Duniani ambayo huadhimishwa kila ifikapo Disemba Mosi ya kila mwaka, Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania imeendelea kutoa elimu ya Lishe...Soma zaidi

Tanzania kuanza kuzalisha vyakula vya nyongeza kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5.
Imewekwa: 28th Aug, 2020Tanzania iko mbioni kuachana na kuagiza vyakula vya nyogeza kwa Watoto kutoka nje ya nchi na matokeo yake vitaanza kuzalishwa hapa hapa nchini, mara baada ya Taasisi ya Chakula...Soma zaidi

Wanafunzi wanywe maziwa shuleni-Ummy Mwalimu
Imewekwa: 13th Aug, 2020Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema atamwandikia barua Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako kutoa pendekezo kuanzia Septemba Mosi Mwaka huu, Kila shule ya Msingi na Sekondari iwe na kibanda cha maziwa ...Soma zaidi

Wanahabari Mkoa wa Morogoro waomba kujengewa uwezo zaidi, kwenye uandishi wa habari za lishe
Imewekwa: 3rd Aug, 2020Chama cha Waandishi wa Habari mkoa wa Morogoro (MOROPC) kimeiomba Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania kuendelea .....Soma zaidi