Habari

news image

Halmashauri 14 zapatiwa mafunzo ya kuongeza madini joto

Imewekwa: 16th Oct, 2018

Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) imetoa mafunzo ya kuongeza madini joto kwenye chumvi kwa wazalishaji 715 toka halmashauri 14 zinazozalisha chumvi kwa wingi nchini ikiwemo halmashauri ya wilaya ya Rufiji, Mkuranga, Bagamoyo, ...Soma zaidi

news image

WAJA- Tutaboresha hali ya lishe Ukerewe

Imewekwa: 2nd Oct, 2018

Watoa huduma katika ngazi ya Jamii (WAJA) wilayani Ukerewe wameahidi kuboresha hali ya lishe kwa watoto wachanga, watoto wadogo, wajawazito, wanaonyonyesha na wasichana balehe....Soma zaidi

news image

Ziara ya kikazi ya Naibu Waziri wa Afya Mhe. Dkt. Faustine Engelbert Ndugulile (Mb)

Imewekwa: 27th Sep, 2018

Ziara ya Mheshimiwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Engelbert Ndugulile (Mb) Katika Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Tarehe 25 Septemba, 2018...Soma zaidi

news image

Serikali Kutunga Sheria ya Kuwatengea Bajeti ya Lishe Watoto Chini ya Miaka 5

Imewekwa: 14th Sep, 2018

Kongamano la wadau wa lishe nchini lililofanyika kwenye ukumbi wa kambarage, Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dodoma September 11,2018...Soma zaidi