Habari

news image

Waajiri wanaozuia likizo za uzazi waache mara moja- Ummy Mwalimu

Imewekwa: 2nd Aug, 2019

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Ummy A. Mwalimu (Mb) amewataka waajiri binafsi wanaozuia likizo ya uzazi kuacha mara moja. ...Soma zaidi

news image

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya azindua ripoti ya utafiti wa Hali ya Lishe nchini kwa mwaka 2018

Imewekwa: 2nd Aug, 2019

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Zainab Chaula azindua ripoti ya utafiti wa Hali ya Lishe nchini kwa mwaka 2018 tarehe 30 Julai,2019 jijini Dodoma....Soma zaidi

news image

TFNC yapata Mkurugenzi Mtendaji mpya

Imewekwa: 15th Jul, 2019

Dkt. Germana Leyna ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) akichukua nafasi ya Dkt. Vincent Assey ambaye amestaafu....Soma zaidi

news image

Wadau wa lishe wakutana siku mbili

Imewekwa: 17th May, 2019

Wadau wa lishe nchini Tanzania wamekutana katika kikao kazi cha siku mbili kilichofanyika Mei 15 na Mei 16, 2019 katika ukumbi wa Protea jijini Dar es salaam na kujadili namna ya kufanya mapitio ya kati ya utekelezaji wa mpango jumuishi wa kitaifa wa lishe wa miaka mitano ulioanza kutekelezwa mwaka 2016 hadi 2021. ...Soma zaidi