Habari

news image

Watu 227 wapimwa hali zao za lishe wakati wa maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani

Imewekwa: 4th Dec, 2019

Wananchi 227 wamejìtokeza kupima hali zao za lishe wakati wa maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani yaliyofanyika kitaifa jijini Mwanza katika viwanja vya Rock City Mall kuanzia tarehe 25/11/2019 hadi tarehe_ 01/12/2019. ...Soma zaidi

news image

Mtaalamu aelezea mbinu za kujikinga na ugonjwa wa kiharusi

Imewekwa: 29th Oct, 2019

Wakati Shirika la Afya Dunia (WHO) likionesha kuwa katika kila watu wanne, mmoja yupo kwenye hatari ya kupata ugonjwa wa kiharusi, Afisa lishe Mwandamizi kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Bi. Adelina Munuo ...Soma zaidi

news image

Mwenge wa uhuru kutumika kueneza elimu ya Lishe

Imewekwa: 4th Oct, 2019

“Lishe bora ni msingi wa maendeleo, bila ya kuwa na lishe bora, afya bora hatuwezi kufikia lengo letu la kufikia uchumi wa viwanda” ...Soma zaidi

news image

Waajiri wanaozuia likizo za uzazi waache mara moja- Ummy Mwalimu

Imewekwa: 2nd Aug, 2019

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Ummy A. Mwalimu (Mb) amewataka waajiri binafsi wanaozuia likizo ya uzazi kuacha mara moja. ...Soma zaidi