Habari

Hafla ya utiaji saini Mkataba wa usimamizi wa shughuli za lishe
Imewekwa: 30th Sep, 2022Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan atembelea banda la Maonyesho la Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania na kuagiza kupitiwa upya kwa Sera ya Lishe ya Mwaka 1992 kwa kuwa sera hiyo ni ya muda mrefu, hivyo inahitajika kufanyiwa mapitio ili kuendana na mabadiliko yaliyopo sasa....Soma zaidi

Semina ya Watafiti wa TFNC
Imewekwa: 2nd Sep, 2022Afisa Lishe Mtafiti Eliasaph Mwanakulijira na Msimamizi wa programu ya Kozi zinazotolewa Mtandaoni kuhusu Masuala ya Chakula na Lishe...Soma zaidi

KIKAO KAZI
Imewekwa: 2nd Sep, 2022Wadau mbalimbali wa masuala ya Lishe kutoka Wizara, Taasisi za Elimu ya juu, na wadau wa Maendeleo wakiwa...Soma zaidi

Kikao kazi cha kupitia na kuthibitisha taarifa ya tathimini ya utekelezaji wa sera na programu za lishe
Imewekwa: 1st Sep, 2022Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Dkt. Germana Leyna akifungua kikao kazi cha kupitia na...Soma zaidi