TFNC yashiriki mjadala wa kisera kuhusu mfumo wa ununuzi wa vyakula

News Image

Imewekwa: 8th Sep, 2023

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Dkt. Germana Leyna (wa pili kushoto), leo ameshiriki mjadala wa kisera kuhusu mfumo wa ununuzi wa vyakula, ikiwa ni mwendelezo wa mijadala mbalimbali inayofanyika katika Mkutano wa Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF 2023) unaoendelea kufanyika nchini kuanzia tarehe 5-8 Septemba 2023 katika ukumbi wa JNICC jijini Dar Es Salaam.