MKUTANO WA WADAU WA LISHE KUTATHIMINI HALI YA LISHE KITAIFA TAREHE: 26 - 28/10/2016

News Image

Imewekwa: 10th Nov, 2017

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Dkt.Zainab Chaula ambaye ni Mgeni rasmi akimkabidhi Mkoba ya siku 1000 mshiriki Ndg. Mwita kutoka TAMISEMI katika mkutano uliofanyika ukumbi wa mikutano wakimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam tarehe 26/10/2016.


Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Dkt. Joyceline Kaganda akipokea mkoba mkoba wa siku 1000 kutoka kwa mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Dkt. Zainabu Chaula