Kikao kazi cha kupitia na kuthibitisha taarifa ya tathimini ya utekelezaji wa sera na programu za lishe

News Image

Imewekwa: 1st Sep, 2022

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Dkt. Germana Leyna akifungua kikao kazi cha kupitia na kuthibitisha Taarifa ya tathimini ya utekelezaji wa sera na programu za ulishaji watoto wachanga na wadogo Tanzania ya mwaka 2022, kilichofanyika tarehe 30/08/2022 katika ukumbi wa zimamoto jijini Dodoma

Mkurugenzi wa Idara ya Elimu na Mafunzo ya Lishe, Dkt. Esther Nkuba kutoka TFNC akiwakaribisha wajumbe wa kikao kazi cha kupitia na kuthibitisha taarifa ya tathimini ya utekelezaji wa sera na programu za ulishaji watoto wachanga na wadogo Tanzania ya mwaka 2022, kilichofanyika tarehe 30/08/2022 katika ukumbi wa zimamoto jijini Dodoma