Kikao cha Wanachama wa Chama cha Wafanyakazi RAAWU tawi la TFNC

Imewekwa: 18th May, 2025
Mei 15,2025 Wanachama wa Chama cha Wafanyakazi RAAWU tawi la Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania, wamekutana na kufanya kikao cha baraza la wafanyakazi wa tawi hilo na kujadili masuala mbalimbali sambamba na kupatiwa semina elekezi kuhusiana na masuala ya sheria za kazi na umuhimu wa kujiunga na vyama vya wafanyakazi.