Kikao cha kuhamasisha masuala ya urutubishaji wa mazao ya chakula

News Image

Imewekwa: 7th May, 2018

Maofisa wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania wakiwa pamoja na wawezeshaji wa mkutano wa kuhamasisha masuala ya urutubishaji wa mazao ya chakula kwa njia ya kibaiolojia uliofanyika katika kituo cha Utafiti wa Zao la Miwa, Kibaha, Tanzania. Mkutano huo ulifanyika tarehe 19 – 20 April 2018, na ulidhaminiwa na Mradi wa Kapu La Vyakula Vyenye Virutubishi kwa Wingi.


Mtaalamu wa Kilimo akiwaeleza maofisa wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania kuhusu ulimaji wa Mbegu Bora za viazi lishe vilivyorutubishwa kwa njia ya kibaiolojia.