Tangazo la mnada wa hadhara wa gari moja na vifaa chakavu

Imewekwa:May 24 , 2023

Tangazo la mnada wa hadhara wa gari moja na vifaa chakavu ijumaa tarehe 09.06.2023.

Tunapenda kuutangazia umma kuwa tutakuwa na mnada wa hadhara wa kuuza gari moja na vifaa chakavu utafanyika siku ya Ijumaa tarehe 09.06.2023 kuanzia saa 04.00 asubuhi Makao Makuu ya Taasisi ya Chakula na Lishe 22 Barabara ya Barack Obama 22 (Karibu na Hospitali ya Ocean Road) na Maabara ya Taasisi iliyopo Mikocheni Barabara ya Sembetini (karibu na Mikocheni Barabara ya Sembetini (karibu na Mikocheni Plaza).

Bonyeza hapa kupata taarifa zaidi