Mafunzo ya Uandaaji Bora wa Chakula kwa Watoa Huduma
Imewekwa:Dec 23 , 2024
Mafunzo haya yatawawezesha washiriki kupata ujuzi wa namna sahihi ya kuandaa chakula salama kwa afya na lishe bora ya jamii
Mafunzo yatafanyika katika Ofisi ya Taasisi ya Chakula na Lishe Makao Makuu| 22 Barabara ya Barack Obama.
Tarehe: 26 - 27 Februari, 2025;
Walengwa wa Mafunzo
Washiriki wa mafunzo haya ni watoa huduma za chakula katika migahawa, hoteli,sherehe na wanaondaa na kuuza vyakula maeneo mengine katika jamii.
<<<<<<<<<<<<BONYEZA HAPA KUJISAJILI>>>>>>>>>>>