Mkutano wa sita (6) wa wadau wa kupitia mpango kazi wa lishe


Mahali: @ Treasury Square, Dodoma.
Ada ya Tukio: @ Invited
Tarehe: 2019-10-03 - 2019-10-04
Muda: 8:00am - 16:30pm
  Pakua

Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania inategemea kuwa na Mkutano wa sita (6) wa wadau wa kupitia mpango kazi wa lishe utakaofanyika kuanzia tarehe 03/10/2019 hadi 04/10/2019 jijjini Dodoma.