ELIMU KWA UMMA
Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania, inatoa elimu ya masuala ya Chakula na Lishe kwa umma, na kukaribisha wale wenye maswali kutaka kufahamu zaidi.
Utafiti
TFNC inatoa huduma na kushirikiana na wadau mbalimbali katika kufanya tafiti zinazohusiana na masuala ya lishe na madini joto.
HUDUMA ZA MAABARA
TFNC inamaabara ya kisasa yenye vifaa vyenye ubora wa hali ya juu vinavyoendana na wakati pamoja na teknolojia ili wadau wake waweze kupata matokeo bora ya vipi...
