WATUMISHI TFNC WAPATIWA MAFUNZO YA USALAMA BARABARANI

News Image

Imewekwa: 9th Sep, 2025

Watumushi wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), wamepatiwa mafunzo ya Usalama Barabarani na wakufunzi wa Jeshi la Polisi kutoka Chuo cha Polisi Ufundi kilichopo jijini Dar es Salaam.

Mafunzo hayo yameoongozwa na Mkufunzi wa masuala ya usalama barabarani kutoka chuo hicho SP. Hamisi Membe, yamelenga kutoa elimu kwa madereva na watumiaji wa barabara ili kupunguza ajali zitokanazo na kujua au kutojua matumizi sahihi ya barabara.