01 May, 2026
Sura za ushindi, mioyo ya huduma! 🌟 Timu ya TFNC ikiungana na wafanyakazi wote duniani kusherehekea juhudi, maarifa, na weledi mahali pa kazi. Kumbuka: Mfanyakazi bora huanza na sahani bora. Heri ya Mei Mosi!
