MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI 2021

Imewekwa: 18th Oct, 2021
Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania imeibuka mshindi wa Banda lenye Ubunifu katika Maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani ambayo kwa hapa nchini yamefanyika mkoani Kilimanjaro na kufikia kilele chake Oktoba 17,2021