Kikomba cha Ushindi wa Banda lenye ubuni - TFNC

Imewekwa: 20th Oct, 2021
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Dkt.Germana Leyna akipokea kikombe cha Ushindi wa Banda lenye ubunifu wa maonesho ya Siku ya Chakula Duniani kwa mwaka 2021 kutoka kwa Afisa Lishe Mtafiti Mwandamizi Adeline Munuo.
Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yalihitimishwa Oktoba 17,2021 na hapa nchini yalifanyika Mkoani Kilimanjaro.