Ushauri wa Kitaaluma

Kituo hiki hutoa huduma za ushauri wa kitaaluma kwa Taasisi za Umma, Mashirika yasiyo ya kiserikali(NGO's), Taasisi binafsi na Mashirika ya kimataifa katika maeneo ya utafiti wa lishe, kubuni miradi, ukaguzi na tathmini, maendeleo ya vifaa vya mafunzo na miongozo, na uchambuzi wa maabara.