Habari

Watoa huduma katika vituo vya afya Dodoma wapatiwa mafunzo ya mkoba wa siku 1000
Imewekwa: 5th Mar, 2019Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) kupitia ufadhili wa shirika lisilo la kiserikali la Madaktari Pamoja na Afrika (CUAMM) imetoa mafunzo ya mkoba wa siku 1000 kwa watoa huduma wa ngazi ya vituo vya afya mkoani Dodoma....Soma zaidi

Dkt. Vincent aagiza elimu ya ulaji unaofaa kuwafikia wananchi
Imewekwa: 28th Feb, 2019Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania, Dkt. Assey Vincent ameiagiza kamati ya kitaifa ya kuzuia na kudhibiti magonjwa sugu yasiyo ya kuambukiza yanayohusiana na ulaji usiofaa kuendelea kutoa elimu ...Soma zaidi

Bodi Yatembelea Rasilimali za Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania
Imewekwa: 4th Feb, 2019Wajumbe wa Bodi ya Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) wamefanya ziara ya kutembelea rasilimali za Taasisi tarehe 30 Januari, 2019. Mali zilizotembeleawa ni pamoja...Soma zaidi

Naibu Waziri azindua Bodi ya TFNC na kutoa maagizo
Imewekwa: 17th Jan, 2019Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile (Mb) ameagiza Bodi ya Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) kupambana na utapiamlo kwa kuwekeza katika lishe ili watanzania wengi wasipate magonjwa, wakati akiizindua rasmi bodi hiyo tarehe 18 Disemba, 2018....Soma zaidi