Habari

Wageni kutoka Taasisi za Kimataifa wa tembelea Maabara ya TFNC
Imewekwa: 25th Feb, 2023Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania tarehe 24, Februari,2023 imetembelewa na Maafisa kutoka Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID), Taasisi ya Bill and Melinda Gates...Soma zaidi

Zoezi la upandaji miti katika Ofisi za Maabara ya Taasisi
Imewekwa: 2nd Feb, 2023Menejimenti ya Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania ikiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Dkt.Germana Leyna wameshiriki zoezi la upandaji miti katika Ofisi za Maabara...Soma zaidi

Matumizi ya shilingi 1,000 za afua za lishe kwa watoto wadogo zisimamiwe kikamilifu
Imewekwa: 6th Dec, 2022Na, Mwandishi wetu Musoma, Mara. Wabunge vinara wa lishe nchini wameiomba Serikali kuzichukulia hatua halmashauri zinazoshindwa kutenga shilingi 1,000 za afua za lishe kwa ajili ya watoto chini ya umri wa miaka 5...Soma zaidi

Fanyeni tafiti za kimkakati kuhusu masuala ya lishe
Imewekwa: 6th Dec, 2022Na, Mwandishi wetu- Mara Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (MB) Majaliwa amezitaka Taasisi zinafanya tafiti...Soma zaidi