Habari

Kikao kazi cha kuandaa Mwongozo wa utoaji elimu ya lishe cha fanyika mkoani Mbeya
Imewekwa: 21st Jul, 2023Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Huduma za Lishe Wizara ya Afya, Neema Joshua akielezea kwa ufupi malengo ya kikao kazi cha kuandaa Mwongozo wa utoaji elimu ya lishe utakaotumiwa na viongozi wa dini Tanzania Bara....Soma zaidi

TFNC-Kuendelea kushirikia na wadau utekelezaji afua mbalimbali za lishe
Imewekwa: 21st Jul, 2023Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzani Dkt. Germana Leyna, amesema Taasisi ya Chakula na Lishe itaendelea kushirikiana na wadau katika masuala mbalimbali...Soma zaidi

Kikao cha Baraza la Wafanyakazi kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano TFNC
Imewekwa: 13th Jul, 2023Katibu wa Baraza la Wafanyakazi Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Laura Maimu, akiwasilisha...Soma zaidi

Mazungumzo kuhusu maandalizi ya Utafiti wa gharama za utapiamlo nchini yafanyika TFNC
Imewekwa: 13th Jul, 2023Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Dkt. Germanya Leyna, leo Julai 10, 2023 amekutana...Soma zaidi