Habari
TFNC yatoa mafunzo kwa wauguzi na wakunga
Imewekwa: 30th May, 2023Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania imeendesha kozi fupi kwa wauguzi na wakunga, juu ya kumsaidia mama kunyonyesha kwa usahihi kwa...Soma zaidi

Mafunzo ya Lishe, kozi fupi yakiendelea katika Ukumbi wa TFNC
Imewekwa: 25th May, 2023Dkt. Esther Nkuba Kaimu Mkurugenzi Idara ya Elimu na Mafunzo ya Lishe akifungua mafunzo ya kozi fupi ya namna ya kumsaidia mama kufanikisha unyonyeshaji...Soma zaidi

Wananchi kijiji cha pwaga wilayani mpwampwa wapatiwa elimu ya lishe
Imewekwa: 8th Apr, 2023Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Bi. Sofia Kizigo amemwakilisha Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu katika ziara ya kuangalia shughuli zinazofanyika katika Siku ya Afya na Lishe ya Kijiji wilayani humo,...Soma zaidi

Wawakilishi mradi wa LEG4DEV watembelea TFNC na kufanya mazungumzo
Imewekwa: 29th Mar, 2023Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Dkt. Germana Leyna( mwenye koti jekundu) amekutana na kufanya mazungumzo na wawakilishi wa mradi wa LEG4DEV...Soma zaidi