Habari
Zoezi la upandaji miti katika Ofisi za Maabara ya Taasisi
Imewekwa: 2nd Feb, 2023Menejimenti ya Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania ikiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Dkt.Germana Leyna wameshiriki zoezi la upandaji miti katika Ofisi za Maabara...Soma zaidi
Matumizi ya shilingi 1,000 za afua za lishe kwa watoto wadogo zisimamiwe kikamilifu
Imewekwa: 6th Dec, 2022Na, Mwandishi wetu Musoma, Mara. Wabunge vinara wa lishe nchini wameiomba Serikali kuzichukulia hatua halmashauri zinazoshindwa kutenga shilingi 1,000 za afua za lishe kwa ajili ya watoto chini ya umri wa miaka 5...Soma zaidi
Fanyeni tafiti za kimkakati kuhusu masuala ya lishe
Imewekwa: 6th Dec, 2022Na, Mwandishi wetu- Mara Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (MB) Majaliwa amezitaka Taasisi zinafanya tafiti...Soma zaidi
Mkuu wa Wilaya Musoma Dkt. Haule ahimiza upandaji wa miti
Imewekwa: 6th Dec, 2022NA. MWANDISHI WETU Mkuu wa Wilaya ya Musoma Dkt. Khalifan Haule amehimiza wananchi kuendelea kuwa mstari wa mbele katika upandaji wa miti ya matunda ili kupata matunda na vivuli katika maeneo yetu....Soma zaidi