Wadau Kuboresha lishe ya Wanawake Wajawazito

Imewekwa: 11th Jun, 2025
Wadau wa Kuboresha lishe ya Wanawake Wajawazito, wamekutana jijini Dodoma kujadili masuala mbalimbali ikiwemo kuwasilisha mikakati ya kuhama kutoka kwenye matumizi ya vidonge vya kuongeza damu aina ya (IFA) kwenda kwenye matumizi ya vidonge vya nyongeza ya virutubishi (MMS)
Pamoja na hayo wadau hao pia wataunda ramani ya uwazi na ya ushirikiano ili kupata maendeleo na mabadiliko endelevu kutoka IFA hadi MMS nchini Tanzania.