Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya azindua ripoti ya utafiti wa Hali ya Lishe nchini kwa mwaka 2018

News Image

Imewekwa: 2nd Aug, 2019

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Zainab Chaula azindua ripoti ya utafiti wa Hali ya Lishe nchini kwa mwaka 2018 tarehe 30 Julai,2019 jijini Dodoma.

Bonyeza hapa kutapa ripoti kamili ya utafiti wa Hali ya Lishe nchini kwa mwaka 2018

Taarifa fupi kuhusu matokeo ya utafiti wa Hali ya Lishe nchini kwa mwaka 2018 iliyozinduliwa.

Bonyeza hapa kupata taarifa fupi ya matokeo ya utafiti wa Hali ya Lishe nchini kwa mwaka 2018