Albamu ya Video

Ufunguzi wa maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji ambayo kitaifa yamefanyika wilayani Muheza mkoani Tanga

ULISHAJI usio sahihi unaochangiwa na mama kuelemewa na majukumu mengi ya kazi na hivyo kukosa muda wa kutosha wa kumtunza mtoto ni sababu kubwa ya utapiamlo kwa watoto. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji ambayo kitaifa yamefanyika wilayani Muheza mkoani Tanga.

Imewekwa:Aug, 05 2020

Wimbo kuhusu Jumbe za Lishe Bora

Wimbo umuhimu wa mama kunyonyesha mtoto

Imewekwa:Nov, 29 2020

WIKI YA UNYONYESHAJI DUNIANI 2021

Ujumbe wa leo kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Unyonyeshaji maziwa ya mama Duniani Agosti 1- 7,2021. Kauli Mbiu ya Mwaka huu ni “Kulinda unyonyeshaji wa maziwa ya mama:NI JUKUMU LETU SOTE”

Imewekwa:Jul, 27 2021

Jingle: Jumbe kuhusu Mbogamboga na Matunda

.

Imewekwa:Jun, 19 2022

ZIARA YA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA TFNC

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Dkt. Germana Leyna amewashauri wajasirimali wanaojihusisha na uzalishaji wa bidhaa za vyakula, kwenda kwenye maabara ya kupima viini lishe (Virutubishi) katika Taasisi hiyo kwani kwa kufanya hivyo kutawasaidia kuboresha bidhaa zao katika soko la ushindani.

Imewekwa:Jun, 19 2022

ZIARA YA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA TFNC

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekalaghe amefanya ziara ya kikazi katika Maabara ya kupima Virutubishi ya Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania na kuridhishwa na utendaji kazi wa maaabara hiyo katika kupima sampuli mbalimbali za vyakula, zikiwemo sampuli zinazotumika katika tafiti mbalimbali zinazohusiana na masuala ya Chakula na Lishe.

Imewekwa:Jun, 19 2022