Mahali: @ Tanzania
Ada ya Tukio: @ Free
Tarehe: 2021-08-01 - 2021-08-07
Muda: 8:00 AM - 14:00PM
Ujumbe wa leo kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Unyonyeshaji maziwa ya mama Duniani Agosti 1- 7,2021.
Kauli Mbiu ya Mwaka huu ni “Kulinda unyonyeshaji wa maziwa ya mama:NI JUKUMU LETU SOTE”