JMNR 2024


Mahali: @ MALAIKA BEACH RESORT, MWANZA
Ada ya Tukio: @ Fee
Tarehe: 2024-10-02 - 2024-10-03
Muda: 8:00 AM - 16:00PM
  Pakua

Mkutano mkuu wa kumi wa wadau wa masuala ya lishe unatarajiwa kufanyika tarehe 02 hadi 03 Octoba 2024. Mgeni Rasmi ni Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa(MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.