Mahali: @ TANGA BEACH RESORT
Ada ya Tukio: @ Fee
Tarehe: 2021-11-17 - 2021-11-18
Muda: 8:00 AM - 16:00PM
Pakua
Mkutano mkuu wa saba wa wadau wa masuala ya lishe unatarajiwa kufanyika tarehe 17 hadi 18 Novemba 2021. Mgeni Rasmi ni Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa(MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.