New "Kozi ya Mafunzo ya Usindikaji wa Unga Mchanganyiko kwa watoto wenye umri wa miezi 6-23"
Imewekwa:May 20 , 2022
Kumbuka: Unaweza Kuboresha Taarifa zako katika "Profile" kwenye Jina la Kwanza na Jina la Mwisho katika akaunti yako iliyotengeneza ili jina sahihi lionekane katika cheti chako utakacho pakua(download) mwishoni.
Usajili umefungwa leo tarehe: 27.05.2022 saa 10:00;
Baada ya kujisajili, kama ni mara ya kwanza kuingia katika mfumo huu, tengeneza akaunti(username) na nywila(password) kupitia link hii ambayo ni : https://elms.tfnc.go.tz/