Mafunzo ya Uandaaji Bora wa Chakula kwa Watoa Huduma ya Chakula
Bonyeza hapa ili kujisajili: Bonyeza Hapa Kujisajili
Mafunzo ya Uandaaji Bora wa Chakula kwa Watoa Huduma ya Chakula
Malengo ya Mafunzo
-
Kuongeza kipato kwa kuboresha stadi za kutayarisha chakula zinazohifadhi virutubisho.
-
Kuongeza uelewa kwa vitendo kuhusu mbinu bora za maandalizi ya chakula katika kukabiliana na uzito ulio kithiri, unene, magonjwa yasiyoambukiza na magonjwa ya mlipuko.
-
Kujenga uwezo katika kanuni za usafi wa chakula, matumizi sahihi ya vitendea kazi, hifadhi sahihi ya chakula, na kupunguza hasara na athari zinazotokana na uchafu wa chakula.
MUHIMU:
Mafunzo haya yatawasilishwa kwa nadharia na vitendo.
Mahali: Morogoro
Tarehe: 11–12 Februari, 2026
Mwisho wa Kujisajili: 09 Februari, 2026
Ada: Tsh 200,000
(Ada hii inajumuisha gharama za chakula na cheti)
Kujisajili tembelea: https://www.tfnc.go.tz
Kwa mawasiliano zaidi piga:
+255 623 752 053 / +255 683 467 454
